Mtiririko mmoja uliounganishwa
Tengeneza kadi, kusanya majibu ya RSVP, tuma ujumbe, simamia QR za kuingia, na fuatilia michango sehemu moja.
Tengeneza kadi nzuri za matukio, kusanya majibu ya RSVP, tuma QR za wageni, na simamia check-in mlangoni pamoja na fedha za tukio sehemu moja.
Tunakutakia maisha ya furaha na upendo pamoja.
Sayari-E-card inaunganisha mialiko, majibu ya wageni, utumaji, udhibiti wa kuingia, na zana za fedha za tukio bila kumlazimisha kila mtumiaji kuingia kwenye subscription.
Tengeneza kadi, kusanya majibu ya RSVP, tuma ujumbe, simamia QR za kuingia, na fuatilia michango sehemu moja.
Msaada wa Kiswahili na Kiingereza, Malipo ya Simu, SMS, na WhatsApp vinaendana na namna wageni wanavyowasiliana.
Anza bure, nunua vifurushi binafsi, tuma SMS au WhatsApp bila kadi, au jisajili unapokuwa unaandaa matukio mara kwa mara.
Tumia QR pass, misimbo ya kuingia, link za scanner, na orodha ya wageni kama mbadala kwa check-in rahisi.
Tuma vikumbusho kwa SMS au WhatsApp kwa ahadi za michango, matukio, na wageni wanaohitaji kukumbushwa kwa upole.
Nunua na hariri kiolezo kilichotengenezwa tayari, upload kadi yako, au tengeneza kila kitu mwenyewe kwenye editor.
Dirisha la kurejesha husaidia kuepuka kupoteza violezo na rasimu ulizolipia kwa bahati mbaya.
Anza haraka kwa design nzuri za mialiko, kisha badilisha majina, picha, rangi, na taarifa za tukio.
Malipo ya Simu hushughulikiwa kupitia Sayari Payments, hivyo ununuzi hufunguka baada ya malipo kuthibitishwa.
Kutoka kutengeneza kadi hadi RSVP, utumaji, QR ya kuingia, na ufuatiliaji wa michango katika mtiririko mmoja
Chagua kutoka kwenye mkusanyiko wa violezo vilivyosanifiwa kitaalamu kwa kila tukio.
Hariri maudhui, rangi, fonti, na picha mpaka kadi iwe kama unavyotaka.
Tuma kwa WhatsApp au SMS, ambatanisha QR za kuingia kwa kila mpokeaji, na kusanya majibu ya RSVP.
Ona check-in, shughuli za scanner, majibu ya RSVP, mipango ya michango, bajeti, na exports kutoka Mialiko Yangu.
Kwa Wedding na Sendoff, wageni wanaweza kupokea QR ya kuscan wakati wa kutuma mwaliko. Mwenye tukio anaweza kushiriki link za scanner kwa watu wa mlangoni na kuona logi za check-in baadaye.
Shiriki ukurasa mmoja wa mwaliko ambapo wageni huandika jina, simu, jibu, na ujumbe.
Tengeneza ruhusa za single, double, custom, au open entry kwa wapokeaji wakati wa dispatch.
Ruhusu watu wa kuaminika wascan bila kuingia akaunti, zikiwa na muda wa kuisha, kuzimwa, na kikomo cha scan.
Pitia wageni waliokuwa scanned, shughuli za RSVP, ripoti zilizopakuliwa, na takwimu za kuingia.
Baada ya kuhifadhi kadi, unaweza kuiunganisha na mpango wa michango, kuona waliolipa, na kujua kama bajeti ya tukio bado iko sawa.
Ona nani amelipa yote, nani analipa kidogo kidogo, na nani bado ana ahadi.
Linganisha michango iliyokusanywa na makundi ya bajeti pamoja na matumizi yaliyoandikwa.
Tumia vikumbusho, viashiria vya maendeleo, na mapendekezo rahisi kabla ya kuzidisha matumizi.
Buni kadi, shiriki link ya RSVP, tuma QR za wageni, scan mlangoni, na simamia fedha kwa urahisi.